Friday, 18 March 2016

HOW TO QUIT ALCOHOL...

 Jaribu haya na utasahau ulevi kabisa

1. Badilisha mtazamo wako- Change your attitude. Hii ni hiari yako, hujalazimishwa na mtu, anza kuona faida za kutokunywa pombe na pia jua madhara na hasara ya kunywa pombe. Chagua faida za kuwa sober mtu wangu, hii itakuwa rahisi kwako kuachana na pombe kabisa.

2. Jipangie siku- Plan how to quit. Kuwa mjanja sababu kama wewe ni mraibu/ addict itakuwa balaa kuacha mara moja/ at once. Anza kwa kupunguza, kama unakunywaga kila siku, punguza kidogokidogo utakuwa ushaacha kabisa.

3. Ushauri wa daktari- Seek Medical assistance. Kuasi ama kuacha pombe pia kunaweza kusababisha madhara ya kiafya, withdrawal Symtoms. Kwa mfano mshtuko, mapigo ya moyo zaidi, kutetemeka NK. Ukiona hivi, tafadhali muone daktari atakusaidia.

4. Epuka Walevi- Avoid drunk friends. Hawa watakuingiza kwa majaribu, watajitolea hata wakununulie pombe. Waepuke uwezavyo mtu wangu, punguza time yao.

5. Kuwa Busy- Keep yourself busy. Wakati uko free, jaribu kujipa tushughuli hapa na pale, cheza, soma, swim, watch NK ili usiwe tempeted kukunywa pombe. #ASANTE
                             


2 comments: