Epuka Joto Jingi Hivi>>>>
1. Kunywa
kinywaji baridi – Cool fluids. Kunywa kinywaji baridi
wakati wa joto jingi, kitapunguza joto mwilini. Tumia maji, soda ama pia
crushed ice.
2. Usile
chakula moto- Avoid eating spicy and hot foods. Ukiwa na joto, kisha ule chakula moto, basi
unaongeza joto, kula chakula warm tu kidogo.
3. Epuka
mazoezi- Avoid exercises. Kama umezoea kufanya mazoezi ama kazi ngumu, jaribu kupunguza ama
kuacha sababu inachochea joto mwilini mwako.
4. Oga maji
baridi- Take a cold shower. Hii itasaidia ku cool ngozi ambapo kulingana na daktari, inasaidia sana
kupunguza joto jingi mwilini.
5. Tumia
Kiyoyozi - Air Conditioner. Kiyoyozi au hata pepeo/fan kinapunguza hali ya joto jingi katika
mazingira/environment uliyoko.

No comments:
Post a Comment