1. Toa Shukrani- Give Thanks. Kama ni
shukurani basi hakikisha inasalia kuwa shukurani na wala sio stori zingine. Usiwaudhi watu ama mtu.
2. Tuma ujumbe- Send a note. Ikiwa
hutaweza kutoa shukurani ana kwa ana, ama kama mtu ambaye unafaa kumshukuru ako
mbali, basi andika ujumbe, labda sms, email NK.
3. Tambua- Recognize. Unapotoa
shukurani aidha kwa mtu binafsi au kundi/ kampuni, hakikisha unatambua juhudi
zake na pia mtaje kwa majina. Hii inatoa motisha/morale zaidi.
4. Panga Sherehe- Appreciation Events. Kama
unao uwezo, panga hata kama ni sherehe ndogo tu ya kumshukuru mtu/watu/kampuni
ambaye amekuwa muhimu sana kwako. Labda alikusaidia, amechangia ufanisi wako
NK. #ASANTE

No comments:
Post a Comment