Friday, 26 February 2016

A NIGHT OUT?? THIS IS HOW TO PREPARE....

                         Kujiandaa kwenda raha usiku...

1. Mahali pa kwenda- Where are you going? Hakikisha unajua vizuri mahali ambako unakwenda out. Kama hupajui basi tafuta rafiki ambaye atakupeleka.

2. Vipi utafika na kurudi? Plan how to get there and back home. Panga jinsi ambavyo utafika mahali pa kujivinjari na pia utarudi vipi nyumbani. Kama huna gari lako ama rafiki yako hana, chukua namba ya taxi-driver, achana na sponsor!!

3. Pesa za ziada- Have extra money. Kwenda kujivinjari/out ni gharama. Kama huna pesa tafadhali ngoja tu. Hakikisha kama unaenda out uko na pesa za ziada ili kuwa salama kwa lolote likitokea, wanasemaga just in case.

4. Tafuta mtu wa karibu- Choose a guy for the night out. Wakati unajibamba, hakikisha kuna mtu ambaye anajua mahali uko kila saa. Kama unadance, hakikisha anajua mko na nani, ukitoka nje anajua umetoka na nani.

5. Kula kabla- Don’t go out while hungry. Kula hata kama ni kitu kidogo angaa kitulize njaa. Usiende kujibamba kumbe uko njaa, utazimia rafiki yangu. Utachekwa ukienda miayo kwenye party. Vile vile kunywa maji ya kutosha, maji ni uhai.

6. Vaa vizuri- Proper Clothing. Hapa ni kujibamba/kujinice. Vaa kulingana na mada ya night out. Usivae pajama wala apron. Jibambe kwa raha zako.

7. Usibebe vitu za dhamana sana- Avoid valuables. Umeenda kubambika sio kujionyesha ama kujiuza. Usibebe dhahabu zako usiku wa kujibamba. Kumbuka sio kila mtu ako hapo kujibamba, kuna mwenye atapangia hizo dhahabu zako. #ASANTE



1 comment:

  1. Key tips there to note,, hapo kwa extra mullah!! Anyway ni Friday.

    ReplyDelete