5 Tips on how to invite people for a party
1.Jua mwanzo unahitaji
watu wangapi! How many Invites? Hili ni muhimu sana. Watu wangapi
unahitaji? Itategemea na bajeti yako. Usialiki watu Zaidi ama wachache! Jipange na bajeti kasha alike marafiki
kulingana na bajeti uliyonayo tayari. Hii itasaidia kupunguza aibu haswa wakati
watu wamekuwa wengi kuzidi vyakula na vinywaji.
2.Fanya maamuzi, ni
dame/boy ama wote? Kuna watu hawapendi kuchanganywa, wanasema kama ni dame ni dame, kama boy
basi ni boy. Wengine hawaezi kuja kama hakuna washikaji na washikwaji. Hapa
inategemea party yenyewe inahusu nini. Kuwa mjanja.
3.Msahau kabisa mtu wa
visanga! Disqualify person who can cause drama. Mtu wa visanga
kabisa asiwe kwenye list ya waalikwa. Kuna watu ambao hata jua linyeshe ama
mvua iwake, haezi maliza siku bila drama. Mtu kama huyo ataharibu party yako.
4.Alika tu watu
unaowafahamu! Invite people that you know. Usialike marafiki wa marifiki zako, ah
ah! Alika watu ambao unawajua, watu ambao unawaamini. Ukialikia usiowajua
utajiju!
5.Epuka watu wa
kuzushiana. Avoid conflict pairs. Tafadhali, hii ni party. Kama kuna
watu ambao unajua wana uadui/beef Fulani usiwaalike sababu watazushiana tu
kwenye party. Ama utumie ujanja na ualike mmoja wao lakini sio wote. Pia
utapata kuna marafiki ambao wana chuki na wivu tu na mtu, wakipata Fulani
amekuja na ‘mnyama’ Range Rover, wanatoboa ama kukwaruza, nhahaha, waepuke hao! #ASANTE

Hey! okay sawa..
ReplyDeleteCool....
ReplyDeleteNishakusoma.
ReplyDelete