By Evan Mbugua- The Captain

Waza Makuu
- Think Big.
Huwezi ukafaulu iwapo utakuwa mwenye fikra za kadri, waza jinsi unavyoweza zindua jambo lipya au ukafanye jambo ambalo wengi wanatenda lakini sasa kwa njia tofauti na bora Zaidi. Kufanya hivi utakuwa umesucceedkatika maisha/life.
Usiogope Kufeli - Don’t Be Afraid of Failure.
Kufeli katika jambo uloazimia au anzisha kwa mara ya kwanza kusikuvunje moyo, la hasha. Hasa kufeli/fail mara ya kwanza huwa ni nafasi nzuri ya kukupa wakati wa kajipanga vikamilifu ili kukabili mtihani ulioko mbele yako. Usife moyo kwa lolote utendalo na hatimaye utafaulu maishani. Atafutaye hachoki akichoka keshapata.
Jitume - Be a Man of Action.
Usilaze damu yani kuwa lazy. Jitume kwa kazi yoyote ile kwa moyo wako wote na utafaulu katika haya maisha. Hata andiko takatifu lahimiza utenda kazi maana Rabii hubariki kazi ya mikono yote.
Epuka Ugomvi- Avoid Conflicts.
Watu ni mali. Usiwe mtu wa ugomvi na watu wengine katika mazingira yako ya kikazi au makazi/residence. Buni njia za kutatua migogoro lakini zaidi jua jinsi ya kuiepuka, migogoro, na katika maisha yako niamini utafaulu.
Zingatia mtizamo chanya- Maintain a Positive Attitude
Hamna venye utafaulu maishani ukiwa na mtizamo hasi/negative. Utakapo pania mtizamo hasi hapo ndipo utakosa kufaulu katika maisha. Kuwa na mtizamo chanya/positive katika maisha hiyo ndo lele/beginning ya kufaulu.
#AHSANTE.