Uta Approach Dame Aje Kwa Mara ya Kwanza??
1. Jiamini/ kuwa jasiri- Be confident. Kumbuka hamjawai kukutana, ni mara ya
kwanza, kusanya ujasiri wako, jiamini ati unaweza, usiogope, usitetemeke,
usihahe, kuwa jasiri.
2. Ishara- Body language. Piga tabasamu la kijanja. Msome pia ana
ishara zipi za mwili, akitabasamu baaaass!!, mambo laini. Lakini kuwa mjanja
sababu kuna msanii alisema, ukichekeshwa haimaanishi umependwa!
3. Macho kwa macho- Maintain eye contact. Mwangalie mtoto usoni, mpe macho kabisa,
ukimwangalia machoni huwa inakuongeza ujasiri/confidence. Ukimwangalia, alafu
yeye pia anakuangali, ni dhahiri shahiri anataka umuongeleshe. Akiaibika ni
sawa tu.. kisha sasa muongeleshe.
4. Msifu/mpongeze- Start with a compliment. Kumpongeza na kumsifu jinsi alivyo, alivyo
vaa, anavyo tembea, anavyo tabasamu, anavyoongea itakuwa njia nzuuuri tu ya
kumuingiza box. Wasichana/ madame hupenda compliments sana, yani sana.
5. Usimuudhi/usimbore- Avoid boring talks. Kitu hufai kufanya kwa mara ya kwanza ni
kumbore dame. Epuka kabisa sababi ukimbore hatataka hata kukuangalia. Kuwa
mcheshi/ kuwa mfunny.
6. Usinyamaze- Keep conversation lively. Mpe maneno, usiishiwe, tafauta ata kama ni
story za kubuni, ukiishiwa mdanganye pia lakini uongo unakaa ukweli bro,,,
nhahaha.
7. Mnunulie kitu- Buy her
somethimg. Hata kama ni
tunda/apple, sharubati/ yani juice, chocolate, biskuti NK. Hapa utamfanya aone
unamjali kwa sana na atashukuru sana. Baada ya hapo agana naye mpaka siku
ingine. #ASANTE

Nhaha i will try this, not tomorrow, today!!
ReplyDeleteRight away.
DeleteI tried this successfully....
ReplyDeleteLol.. we mfani kweli but hujapa vile mtu atakeep the conversation going ama vile wafaa kuwa mcheshi
ReplyDeleteHapo sasa ni wewe na Mungu wako.. nhaha
DeleteNice
ReplyDelete