Wednesday, 9 March 2016

FOR A SMOOTH SKIN, THIS IS HOW TO MAINTAIN....

Unataka Ngozi Yako Ipendeze?? Fuata Haya...



1. Usafi- Keep your skin clean. Usafi ni kitu cha maana sana, hakikisha unaosha ngozi yako angalau mara mbili kwa siku. Usilale kama ngozi yako ni chafu, hii inasaidia kupumua kwa ngozi yako.

2. Unyevu- Use Moisturizer. U sikubali ngozi yako ikauke. Tumia mafuta ambayo yataiwezesha ngozi yako kuwa na unyevu. Ukishamaliza kuoga, tumia mafuta yanayokufaa.

3. Kula vizuri- Healthy Diet. Chakula kizuri na maanisha balanced diet huwa kinasawazisha mahitaji yote ya mwili ikiwemo ngozi. Chakula kilicho na vitamini A, C, B6, B1 na D kinasaidia kuinyoosha na kuiweka ngozi yako laini.

4. Epuka jua kali- Avoid direct and strong Sunrays. Jua kali huiharibu ngozi kabisa. Usianike ngozi yako kwa jua kali moja kwa moja. Jua kali husababisha ngozi kukunjana, kuwa ngumu na wakati mwingine saratani/kansa.

5. Kunywa Maji- Drink more water. Maji husaidia ngozi yako kuwa na unyevu, kunywa angalau glasi 8 kila siku. Kumbuka maji ni uhai.#ASANTE

1 comment: